Select Menu

Matukio

News

Newspapers

Nishati

Jamii

Sports

News /Arusha

Technology

» » » » » » » » Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa apokea mifuko 900 ya Cement kutoka NSSF kwa ajili ya Tetemeko KageraWaziri Mkuu wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akipokelewa na Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu, Jenista Mhagama alipowasiri katika uwanja wa Kisongo Jijini Arusha.

Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea mfuko wa simenti kutoka kwa mwenyekiti wa bodi ya NSSF Prof. Samweli Wangwe,ambapo NSSF wamechangia mifuko 900 kwa wahanga wa tetemeko Kagera.
Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa pamoja na viongozi mbalimbali katika mkutano mkuu wa mwaka wa shirika la hifadhi ya jamii(NSSF) katika ukumbi wa AICC,Jijini Arusha.

Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali(kulia kwake) Mhe. Jenista Mhagama na (kushoto kwake) Mhe. Mrisho Gambo Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Jijini Arusha.

About Gadiola Emanuel

Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar. Check me on | Instagram: @wazalendo25blog | Twitter : @wazalendo25 | Facebook: Wazalendo 25 Blog
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply