Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru akisalimiana na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhanidisi Gerson
Lwenge alipowasili katika Mamlaka hiyo kwa ajili ya uzinduzi wa bofi
mpya ya MUWSA.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akitia saini katika
kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi za Mamlak ya Maji
safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) kwa ajili ya uznduzi wa
bodi.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini
Moshi (MUWSA) wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya Mamlaka
hiyo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira
Moshi (MUWSA) Prof ,Faustine Bee akizingumza katika hafla hiyo ikiwa ni
pamoja na kufanya utamburisho wa wageni waliohudhuria hafla hiyo.
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini ,Anthony Komu akisalimia mara baada ya kutamburishwa katika hafla hiyo.
Katibu
tawala wa mkoa wa Kilimanjaro,Aisha Amour (katikati) akiwa na wakuu wa
wilaya,kulia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi,Kippi Warioba na kushoto ni Mkuu
wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa wakiwa katia hafla hiyo.
Mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiki akitoa hotuba yake wakati wa
uzinduzi wa bodi mpya ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira
mjini Moshi (MUWSA).
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru akitoa taarifa ya Mamlaka kwa mgeni rasmi wakati wa hafla ya
uzinduzi wa Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira
Mjini Moshi (MUWSA) Sharry Raymond (MB) akizungumza wakati wa kuaga
rasmi kwa niaba ya wajumbe wenzake wa bodi waliomaliza muda wake.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiteta jambo na Mbunge
wa jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael.katikati ni Mwenyekiti wa Bodi
ya Wakurugenzi wa MUWSA,Prof ,Faustine Bee.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akitoa hotuba yake
wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya ya Mamlaa ya Maji safi na Usafi wa
Mazingira mjini Moshi (MUWSA).
Waziri
wa Maji na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Mhandisi Gerson
Lwenge akionesha zawadi ya Tablet zilizotolewa kwa wajumbe wa bodi
waliomaliza muda wake.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi Tablet
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa
Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Prof Faaustine Bee.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru zawadi ya Tablet.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi Mbunge wa
jimbo la Moshi mjini Jafary Michael aliyekuwa mjumbe wa bodi ya MUWSA ,
zawadi ya Tablet.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi Meneja wa
Benki ya Azania tawi la Moshi ambaye pia ni mjumbe wa bodi hiyo,Hajira
Mmambe zawadi ya Tablet.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi Mkurugenzi
wa Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na masuala ya jinsia
na wanawake (KWIECO) Bi Elizabeth Minde zawadi ya Tablet.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi vitendea
kazi Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na
Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Prof Faustine Bee.
Mwenyekiti
mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa
Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Prof Faustine Bee akionesha vitendea kazi
alivyokabidhiwa.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru vitendea kazi kama mjumbe wa Bodi ya mamlaka hiyo .
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi Katibu
tawala mkoa wa Kilimanjaro ,Aisha Amour vitendea kazi kama mjumbe mpya
Bodi ya mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA).
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa na wajumbe wa bodi
mpya ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA)
mara baada ya kuzinduliwa.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa katika picha ya
pamoja na wajumbe wa bodi iliyomaliza muda wake.ya Mamlaka ya majisafi
na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) .
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa katika picha ya
pamoja na wafanyakazi wa Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira mjini
Moshi (MUWSA) .
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa katika picha ya
pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa bodi mpya
ya Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
WAJUMBE WA BODI MPYA YA MUWSA
- BIBI ELIZABETH MINDE
- ENG: ABDALLA MKUFUNZI
- BW: BONIFACE MARIKI
- BW: FILBERT KAHETA
- BIBI HAJIRA MMAMBE
- Mh. RAYMOND MBOYA
- Eng. AISHA AMOUR
- BW. MICHAEL MWANDEZI
WAJUMBE WA BODI ILIYOMALIZA MUDA WAKE
- Mh. SHALLY RAYMOND (MB)
- Mh. JAPHARY MICHAEL (MB)
- Eng. ALFRED SHAYO
- BW. JESHI LUPEMBE
No comments:
Post a Comment