Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza
na wageni waliohudhuria Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini
iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Wageni
waalikwa waliohudhuria Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini
wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa katika hafla hiyo.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia, na
Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini Bw. Song, Geum-young
(katikati), wakikata keki kama ishara ya kujenga mahusiano mema baina ya
nchi hizo mbili katika Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini
iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akigonga
glasi (cheers) na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini Bw.
Song, Geum-young kama ishara ya kujenga mahusiano mema baina ya nchi
hizo mbili katika Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini
iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na wageni waalikwa katika hafla hiyo.
Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
No comments:
Post a Comment