Matukio : Ufunguzi rasmi wa maonesho ya katuni na vibonzo ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Oct 2016

Matukio : Ufunguzi rasmi wa maonesho ya katuni na vibonzo ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam


 Mgeni Maalum,Masoud Kipanya akiwa na Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Bw Achiles Bufure (kushoto) pamoja na Rais wa Chama cha Wasanii na Wachongaji Tanzania (CHAWASAWATA), Bw. Adrian Nyangamalle,Mwenyekiti wa Chama cha  Wachoraji Katuni Tanzania,Nathan Mpangala wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa maonesho ya katuni na vibonzo leo  katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
 Mgeni Maalum,Masoud Kipanya akizungumza na wadau mbalimbali  katika hafla ya  uzinduzi wa maonesho ya katuni na vibonzo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.OKTOBA 20-2016
 Picha ya pamoja
 Mwenyekiti wa Chama cha  Wachoraji Katuni Tanzania,Nathan Mpangala akizungumza katika  hafla ya  uzinduzi wa maonesho ya katuni na vibonzo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
 Wadau wa maonesho ya katuni na vibonzo wakifurahia ufunguzi huo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
  Wadau wa maonesho ya katuni na vibonzo wakifurahia ufunguzi huo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
  Wadau wa maonesho ya katuni na vibonzo wakianganlia maonesho katika furahia ufunguzi huo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
 Mwenyekiti wa Chama cha  Wachoraji Katuni Tanzania,Nathan Mpangala akimwelekeza jambo Ankal wakati wa uzinduzi wa maonesho ya katuni na vibonzo 
 Mgeni Maalum,Masoud Kipanya akiwa na Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Bw Achiles Bufure (kulia  pamoja na Rais wa Chama cha Wasanii na Wachongaji Tanzania (CHAWASAWATA), Bw. Adrian Nyangamalle (kushoto)na mdau
 Wadu katika ufunguzi rasmi wa maonesho ya katuni na vibonzo   katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
 Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii

Post Top Ad