Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea
machache kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani
Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo
Oktoba 17, 2016
Sehemu
ya wafiwa kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa
zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam leo Oktoba 17, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa
Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapa pole
wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt.
Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo
Oktoba 17, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya
wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya
wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Rais
Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa
heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani
Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo
Oktoba 17, 2016
Rais
Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwapa
pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt.
Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo
Oktoba 17, 2016
Rais
Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwapa pole wafiwa baada ya kuaga
mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika
viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Makamu
wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Gkalib Bilali, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Eng. John Kijazi na Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe. Isaya mwita
wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa
zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam leo Oktoba 17, 2016
Mama
Salma Kikwete akitoa pole kwa wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa
Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
Kutoka kulia ni Meya
wa Jiji la Dar es salaam Mhe. Isaya Mwita, Waziri Mstaafu Profesa
Philemon sarungi, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana, Mama
Regina Lowassa na Waziri Mkuu wa Zamani Mhe Edward Lowassa wakitoa
heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani
Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo
Oktoba 17, 2016
Viongozi mbalimbali wakitoa
heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani
Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
leo Oktoba 17, 2016
Viongozi wakielekea kutoa
heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani
Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
leo Oktoba 17, 2016
Viongozi wakitoa
heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani
Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
leo Oktoba 17, 2016
Mabalozi na viongozi wakitoa
heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani
Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
leo Oktoba 17, 2016
Wanahabari wakirekodi hafla ya kutoa heshima za
mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas
Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17,
2016
Mkuu
wa Majeshi jenerali Davies Mwamunyange na viongozi wengine wakitoa
heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani
Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo
Oktoba 17, 2016. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment