Kilimanjaro Studios : Mahojiano na Mhe Peter Serukamba nchini Marekani - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


7 Oct 2016

Kilimanjaro Studios : Mahojiano na Mhe Peter Serukamba nchini Marekani


Karibu na asante kwa kujiunga nasi
Oktoba 6, 2016, tulipata fursa ya kutembelewa studioni (Kilimanjaro Studio, Beltsville, Maryland) na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini.
Tumejadili mengi tu kuhusu Tanzania yetu
KARIBU

Post Top Ad