Burudani /Muziki : Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016 - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


17 Oct 2016

Burudani /Muziki : Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

Na Fredrick Bundala, Bongo5


Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii.
afrimma
Diamond ameibuka tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika.
“Team Tanzania Mungu ni mwema siku zote,” ameandika Harmonize baada ya ushindi huo.
14723585_204730183290000_6229108837392056320_n
Harmonize akiwa na Akothee aliyeshinda tuzo ya msanii bora wa kike Afrika Mashariki na Willy M Tuva
Diamond na D-Ommy hawakuwepo kwenye tuzo hizo.

Post Top Ad