Afya : Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu aweka jiwe la msingi wodi ya wazazi, Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 12 October 2016

demo-image

Afya : Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu aweka jiwe la msingi wodi ya wazazi, Dar



IMG_1745Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam leo Oktoba 11, 2016. Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog. IMG_1699 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda akizungumza kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam.
IMG_1784
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya Uwekaji mawe ya msingi ujenzi wa wodi za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es Salaam. Pembeni wanaoshuhudia ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Makonda.
IMG_1798
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipewa maelekezo na wadhamini watakaojenga jengo hilo, Amsons Group.
IMG_1843
IMG_1570
Moja ya Bango la ujenzi wa wodi ya wazazi.
IMG_1662
IMG_1666
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi.
IMG_1672
IMG_1848
Wageni waalikwa.
IMG_1855
Mganga mkuu wa hospitali ya Temeke akisoma Risala.
IMG_1861
IMG_1866
IMG_1870
IMG_1897
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza machache.
IMG_1988
Meya wa Jiji, Isaya Mwita akitoa shukrani. IMG_1989 Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Andrea Kigwangalla akitoa neno.
IMG_1922
Mama Samia Suluhu akikata utepe, hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam.
IMG_1965
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi wa Amsons Group, Bw. Abdallah Nahad.
IMG_1979
IMG_1984
IMG_2094
Picha ya Pamoja.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *