Mkuu wa Jeshi la Majini (Navy, Meja Jenerali Rogastian Laswai (kulia) akitoa maelezo
Kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi),
Eng. Joseph Nyamhanga (Wa kwanza kushoto) kuhusu huduma za usafiri wa majini
katika Kivuko cha Mv. Magogoni.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng.
Joseph Nyamhanga akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Majini (Navy) Meja Jenerali
Rogastian Laswai kabla ya ufunguzi wa Kivuko cha Mv. Magogoni, jijini Dar es salaam.
Muonekano wa Kivuko cha Mv. Magogoni kikiwa majini mara baada ya ukarabati wake kukamilika.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi),
Eng. Joseph Nyamhanga (Wa tatu kulia) akikata utepe kuashiria ufunguzi
wa Kivuko cha Mv. Magogoni mara baada ya ukarabati wake kukamilika,
Jijiji Dar es salaam.
Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Eng. Manase Ole
Kujan (Kushoto), akitoa maelezo ya moja ya kifaa kwa Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano(Sekta ya Ujenzi) Eng. Joseph
Nyamhanga (kulia) mara baada ya ufunguzi wa Kivuko cha Mv. Magogoni.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano(Sekta ya Ujenzi),
Eng. Joseph Nyamhanga (Wa nne kushoto)akitoa maelekezo kwa Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Eng.Manase Ole
Kujan mara baada ya ufunguzi wa kivuko cha Mv. Magogoni.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi),
Eng. Joseph Nyamhanga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara
baada ya ufunguzi wa Kivuko cha Mv.Magogoni, Jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi),
Eng. Joseph Nyamhanga (Wa nne kushoto) akiwa pamoja na watendaji wa
Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakivuka kuelekea upande wa Kigamboni
kwa kutumia usafiri wa Mv. Magogoni.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi),
Eng. Joseph Nyamhanga akishuka kutoka katika kivuko cha Mv. Magogoni.
Wakazi
wa Kigamboni wakielekea kupanda kivuko cha Mv. Magogoni mara baada ya
kuanza kutoa huduma za usafiri kati ya Magogoni na Kigamboni.
No comments:
Post a Comment