Rais
John Magufuli akisalimiana na Ofisa Mafunzo Uendeshaji wa UTT-Amis,
Dorice Mlenge wakati alipotembelea banda la UTT wakati wa Mkutano
Mkuu wa Wahandisi uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar
es Salaam. Katikati ni Ofisa Mafunzo, Masoko na Habari, Pauline
Kasilati.
Wateja wakipata maelezo katika banda la UTT-AMIS.
Ofisa Mafunzo, Masoko na Habari, Pauline Kasilati akitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliofika katika banda lao.
Ofisa Mafunzo, Masoko na Habari, Pauline Kasilati.
Ofisa
Mafunzo Uendeshaji wa UTT-AMIS, Hilder Lyimo akimpa maelezo kuhusu
Uwekezaji wa Pamoja, kwa mmoja wa watu waliofika katika banda lao.
Ofisa
Mafunzo Uendeshaji wa UTT-AMIS, Hilder Lyimo akitoa maelezo kuhusu
Uwekezaji wa Pamoja kwa mmoja wa watu waliofika katika banda lao.
Watu mbalimbali wakitembelea banda la UTT AMIS.
Ofisa Mafunzo, Masoko na Habari, Pauline Kasilati akipokea cheti kutoka kwa waandaaji wa maonesho hayo.
No comments:
Post a Comment