Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa Aongoza swala ya Idd El Hajj - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Sep 2016

Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa Aongoza swala ya Idd El Hajj

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hutuba katika swala ya Idd El Haji iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi.
 Swala ikiendelea.

Waziri Mkuu alivyojumuika na waislam wenzake katika swala hiyo.
 Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji 
 Sheikh Nurudin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo.
 Waumini wa dini ya kiislam wakishiriki swala hiyo.


Waumini wa dini ya kiislam wakiswali.


Post Top Ad