Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Ngosi Mwihava akikaribisha
ujumbe toka Serikali ya Ujerumani uliofika Ofisi kwake Mtaa wa Luthuli
jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kusaini mkataba wa makubaliano ya
kuisaidia Ofisi ya Makamu wa Rais kiasi cha fedha yuro laki nne kwa
ajili ya shughuli za mabadiliko ya tabia Nchi.
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Ngosi Mwihava akiongea
jambo na Mwakilishi wa Balozi wa Ujerumani Bi. Lena Thiede kabla ya
kuanza shighuli ya kusaini mkataba huo.
Sehemu
ya Watumishi ya Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Mazingira wakiongozwa
na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Richard Muyungi(wa kwanza kulia)
wakimsikiliza kwa makini Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais
Injinia Ngosi Mwihava (hayupo pichani) wakati anatoa neno la shukurani
kwa Serikali ya Ujerumani kabala ya kusiani mktaba huo.
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Ngosi Mwihava pamoja na
Mkuu wa program ya Maji toka Ubalozi wa Ujerumani Bw. Ernst Doring
wakisaini hati za makubaliano ya Serikali ya Ujerumani kuisaidia Ofisi
ya Makamu wa Rais kiasi cha fedha yuro laki nne kwa jaili ya kuendesha
program za mabadiliko ya tabia Nchi.
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Ngosi Mwihava na Mkuu wa
program ya Maji toka Ubalozi wa Ujerumani Bw. Ernest Doring
wakibadilishana hati za makubaliano mara baada ya kusaini mkataba huo.
MHANDISI JAMES JUMBE ATIKISA SHINYANGA KWA MOTISHA KUBWA KWA TIMU YA STAND
UNITED!
-
Mdau mkubwa wa michezo mkoani Shinyanga Mhandisi James Jumbe akizungumza
wakati akikabidhi fedha kwa Timu ya Stand United ya Mkoani Shinyanga
#Amwaga V...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment