Mgeni
Rasmi kwenye Uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani ambaye
ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi,
Tumpe Mwaijande kushoto ambaye alimuwakilisha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano,Makame Mbawara katika maashimidho hayo akiingia kwenye
viwanja vya Tangamano kunakofanyika maadhimisho hayo katikati ni
Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra,Gilliard Ngewe kulia ni Katibu Tawala wa
Mkoa wa Tanga(Ras)Mhandisi Zena Saidi.
Afisa
Mawasiliano Mwandamizi wa TPA,Focus Mauki kushoto akisisitiza jambo kwa
Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi, Tumpe
Mwaijande aliyesimama katikati wakati alipolitembelea Banda la Mamlaka
ya Bandari (TPA) kunakofanyika maadhimisho ya siku ya Bahari Dunia wa
kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra,Gilliard Ngewe.
Mwakilishi
wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),Joseph Msaki
kushoto akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira,
Wizara ya Uchukuzi, Tumpe Mwaijande wakati alipotembelea Banda lao leo.
Mwakilishi
wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),Joseph Msaki
aksisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara
ya Uchukuzi, Tumpe Mwaijande wakati alipotembelea Banda lao leo wa pili
kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa.
Kaimu
Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika kushoto akisisitiza jambo kwa
Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi, Tumpe
Mwaijande wakati alipotembelea Banda lao leo.
Kaimu
Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika kushoto akisisitiza jambo kwa
Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi, Tumpe
Mwaijande ambaye hayupo pichani wakati alipotembelea Banda lao leo.
Tug
Master Idara ya Marine Bandari ya Tanga,Mkanga Mbwana akifafanua jambo
kwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi,
Tumpe Mwaijande wakati alipotembelea Banda lao leo katikati ni Afisa
Mawasiliano Mwandamizi wa TPA,Focus Mauki.
Afisa
Zimamoto na Usalama wa Bandari ya Tanga (TPA),Athumani Mkubwa akimueleza
jambo Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi,
Tumpe Mwaijande wakati alipotembelea Banda lao leo katikati ni Afisa
Mawasiliano Mwandamizi wa TPA,Focus Mauki.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Quality Body Product LTD ambayo inajihusisha na Vifaa vya
Uvuvi na Malighafi za Vipodozi,Hussein Walt akimuonyesha mgeni rasmi
ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya
Uchukuzi, Tumpe Mwaijande namna wanayotengeneza bidhaa hizo wakati alipo
tembelea Banda lao leo.
Mkurugenzi
wa ulinzi na usalama wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa nchi kavu na
majini (Sumatra) Mussa Mandia kushoto akisoma vipeperusi kuhusiana na
mfuko wa Pensheni wa PSPF mara baada ya kulitembelea Banda lao lililopo
kwenye viwanja vya Tangamano mjini Tanga panako fanyika maadhimisho ya
siku ya Bahari Duniani katikati ni Afisa wa Mfuko huo,Michael Kazimili
na kulia aliyekaa ni Afisa Mwandamizi wa mfuko huo Mkoa wa
Tanga,Happines Mbuna.
Mkurugenzi
wa ulinzi na usalama wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa nchi kavu na
majini (Sumatra) Mussa Mandia kushoto akisoma vipeperusi kuhusiana na
mfuko wa Pensheni wa PSPF mara baada ya kulitembelea Banda lao lililopo
kwenye viwanja vya Tangamano mjini Tanga panako fanyika maadhimisho ya
siku ya Bahari Duniani katikati ni Afisa wa Mfuko huo,Michael Kazimili
na kulia aliyekaa ni Afisa Mwandamizi wa Mkoa wa Tanga,Happines Mbuna.
Afisa
Mkaguzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Vyombo vya Majini kutoka Sumatra
,Mhandisi Christopher Mlelwa akimsikiliza mkazi wa Jiji la Tanga ambaye
aliitaja kupata ufafanuzi kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusiana
na mamlaka hiyo.
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Tanga wakifuatilia uzinduzi wa Maonyesho ya Bahari Dunia leo kwenye viwanja vya Tangamano
No comments:
Post a Comment