Matukio : Mbunge wa EALA Mhe. Shyrose Bhanji atoa milioni 5 kuchangia waliokumbwa na Tetemeko Bukoba Tanzania - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


13 Sep 2016

Matukio : Mbunge wa EALA Mhe. Shyrose Bhanji atoa milioni 5 kuchangia waliokumbwa na Tetemeko Bukoba Tanzania

"Nitachangia 5m/- (Shillingi Millioni 5) mwisho wa mwezi wa September 2016, ikiwa ni sehemu ya mshahara wangu kwa wenzetu waliokumbwa na janga la tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Ninawaomba Watanzania wenzangu tutoe msaada wa hali na mali maana ndugu zetu wako kwenye kipindi kigumu. #KutoaNiMoyo Mungu awalaze pema wote waliopoteza maisha"
Shy Rose Banji

Post Top Ad