ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA, MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA, ASubuhi hii yupo jijini Nairobi, nchini Kenya kwa ajili ya Misa ya kumuaga aliyekuwa Rafiki yake wa karibu na Mwanasiasa Nguli William Ronkorua Ole Ntimama , aliyefariki september 1 mwaka huu na atazikwa kesho nyumbani kwake katika mji wa Narok, kenya, ambado Mh. Lowassa atakuwepo pia.
FEDHA ZA TASAF ZINAJENGA KITUO CHA AFYA KATA YA MLENGE MKOANI IRINGA
-
Na mwandishi wetu
FEDHA zinazotolewa na Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF),
zitawezesha kujengwa Kituo Kipya cha Afya ili kurahishisha ...
18 minutes ago
No comments:
Post a Comment