Matukio : DC Handeni Godwin Gondwe asuluhisha mgogoro wa mpaka uliodumu kwa muda mrefu - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


9 Sept 2016

Matukio : DC Handeni Godwin Gondwe asuluhisha mgogoro wa mpaka uliodumu kwa muda mrefu


 Mkuu wa wilaya ya Handeni wa kwanzakushoto  akisoma ramani ya mwaka 2007 akiwa na  viongozi na wananchi ili kujua mpaka upo sehemu gani.DC Gondwe  amefanikiwa kusuluhisha mgogoro wa mpaka uliodumu kwa muda mrefu akiwa ameambatana na Wakurugenzi wa halmashauri zote mbili uliohusisha Kijiji cha Kweditilibe cha Handeni vijijini na kitongoji cha makinda kilichopo Handeni Mji.

RAMANI YA 2007  ndiyo iliyotumika kusuluhisha mgogoro huo ambapo aliwaeleza wananchi kuwa ramani hiyo ndiyo iliyotumika kuweka mipaka ya maeneo husika Tanzania nzima na hakuna mwenye mamalaka ya kuibadili isipokua Raisi mwenye mamalaka ya Ardhi ya Tanzania nzima.
Mkuu wa wilaya Mh. Godwin Gondwe akisalimiana na mmoja wa wananchi wa Wilaya ya Handeni kabla ya zoezi la kutatua mgogoro wa mpaka.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad