Matukio : Wawakilishi wa Tanzania katika YALI 2016 wazungumza kuhusu kongamano lao Washington DC - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Aug 2016

Matukio : Wawakilishi wa Tanzania katika YALI 2016 wazungumza kuhusu kongamano lao Washington DC


Stanley Magesa (mjasiriamali) akifafanua jambo ndani ya studio kuhusu YALI 2016

Aug 3, 2016 tulipata fursa ya kutembelewa na kuhojiana na baadhi ya Watanzania wanaowakilisha kwenye mkutano wa Mandela Washington Fellowship - Young African Leaders Initiative (YALI) 2016 waliomaliza mkutano wao hapa Washington DC
Walikuwa wakarimu sana kujiunga nasi Studio na kuzungumza nasi kuhusu mambo mbalimbali
Karibu uwasikilize

Heri Emmanuel (kati kutoka Mwanza) akieleza jambo huku Tusekile Mwakalundwa ( Mhadhiri na Mwanasheria kutoka Arusha) akisikiliza kwa makini. Kulia ni Mubelwa Bandio wa Kwanza Production na Vijimambo Radio
Baadhi ya wawakilishi wa YALI 2016 kutoka Tanzania, wajasiriamali Stanyey Magesa (Mwanza), Simon Malugu (Morogoro) na Lusajo Mwaisaka (Dar) wakiwa kwenye mahojiano Kilimanjaro Studio
Mshiriki wa YALI 2016 Heri Emmanuel (Mwanza) kulia akaifafanua jambo huku akisikilizwa na mshiriki mwenzake ambaye pia ni Mhadhiri na Mwanasheria Tusekile Mwakalundwa (Arusha) na mjasiriamali na Lusajo Mwaisaka (kutoka Dar)


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad