Matukio : Rais Dk. Magufuli Ahudhiria misa Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya Ndoa ya Mkapa - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

28 Aug 2016

Matukio : Rais Dk. Magufuli Ahudhiria misa Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya Ndoa ya Mkapa

Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe wakati akiwasili kuhudhuria  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
"Maharusi"  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakiingia kanisani  tayari kwa  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa  wakiwa tayari kwa  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa  na wageni waalikwa akiwemo Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli  katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
Sehemu ya wanafamilia wa Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa    katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
MC Mavunde akipiga kinanda wakati wa  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016

  Sehemu ya wanafamilia wa Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa    katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
Sehemu ya waumini na wageni waalikwa   katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo  katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016

  Wanakwaya katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo  katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
Kiongozi wa kwaya  katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo  katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
  Sehemu ya wanafamilia wa Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa    katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo  katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
  Bw. Nicholaus Mkapa, mtoto wa Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa  akisoma somo la kwanza   katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
  Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Lebulu akiongea na wana familia, waumini na wageni waalikwa katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe akiongoza Ibada ya ukumbusho wa ahadi za ndoa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016

Rais Dkt Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na waumini na wageni waalikwa  wakiwa katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe akiongoza Ibada ya ukumbusho wa ahadi za ndoa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akimvisha pete Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akivishwa pete na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakifurahia jambo baada ya zoezi hilo
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe akitoa neno kwa "maharusi" hao wenye furaha
  Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe akitoa neno kwa "maharusi" . Kulia ni  Balozi Anthony Nyaki aliyesimamia harusi yao siku kama ya leo miaka 50 iliyopita. Matron alikuwa Marehemu Lucy Lameck.
  "Maharusi"  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wanaketi baada ya ukumbusho wa viapo vya ndoa yao katika  kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akiongea na kadamnasi

  Rais Dkt Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na waumini na wageni wakiendelea na misa
Mawaziri wakuu wastaafu walikuwepo. Kutoka kushoto ni Jaji Joseph Sinde Warioba na mkewe Evelyn Warioba. Mzee Cleopa Msuya, Mama Amne Salim na mumewe Dkt. Salim Ahmed Salim na Mhe Edward Lowasssa na mkewe mama Regina Lowassa
Sir Andy Chande akiungana na waalikwa katika misa hiyo
Mohamed Dewji na mkewe wakiwa katika misa hiyo
Mstari wa mbele
Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndg Philip Mangula na mkewe pamoja na wageni wengine
Mawaziri wakuu wastaafu walikuwepo. Kutoka kushoto ni Jaji Joseph Sinde Warioba na mkewe Evelyn Warioba. Mzee Cleopa Msuya, Mama Amne Salim na mumewe Dkt. Salim Ahmed Salim na Mhe Edward Lowasssa na mkewe mama Regina Lowassa
Katibu Mkuu Kiongozi Eng. John Kijazi, Maspika wastafu Mzee Pius Msekwa na Mama Anne makinda na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue
Sehemu ya waalikwa
Jaji Mkuu mstaafu Mhe. Barnabas Samatta na mkewe pamoja na waalikwa wengine
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Mhe. Marten Lumbanga na mkewe pamoja na Waziri mstaafu Profesa Philemon Sarungi na mkewe Mama Sarungi
Waalikwa
Wageni waalikwa
Waalikwa
Sehemu ya waalikwa
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakiongoza wana familia kupeleka matolea altereni
Kwaya
Sehemu ya waalikwa
Waalikwa
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Lebulu akiongoza misa
Misa ikiendelea
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Lebulu akiongoza misa
Misa ikendelea
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtakia amani Mama Anna Mkapa
Mama Janeth Magufuli na Mama Maria Nyerere wakiwatakia amani Mzee Mkapa na Mama Anna Mkapa
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtakia amani Mhe. Edward Lowassa

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea hati malumu ya ndoa kutoka Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francis kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipongezwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakionesha hati yao  maalumu kutoka  Vatican
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa na hati yao kutoka Vatican
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea
Kila mtu anafurahia mafundisho ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea zawadi kutoka Paroko ya Upanga ya Mt. Imakulata
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimia na kuwapongeza Mzee Mkapa ma mkewe
Rais Dkt John Pombe Magufuli akifurahiajambo
Wote wanafurahia hotuba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli
Rais Dkt John Pombe Magufuli 
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Martin Shoo akitambulishwa kanisani hapo
Ni wakati wa kupata picha za kumbukumbu ambapo Mzee Mkapa na Mama Anna Mkapa wanaanza na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na  Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Lebulu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Martin Shoo akimpongeza Mama Anna Mkapa
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Martin Shoo Mhe Benjamin William Mkapa
Picha na viongozi wastaafu na wana familia
Picha na waliosoma na Mzee Mkapa
Picha na kamati ya maandalizi

Picha na viongozi wastaafu
Picha na viongozi wastaafu na walio kazini
Picha na watoto wa kutoka Kituo cha Kulea Watoto Yatima cha Kibaha (Kibaha The EOTF Orpham Centre)
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipozi na Sir Andy Chande
Ukumbi wa sherehe
Msafara ukielekea ukumbini
Viongozi waalikwa
Viongozi wastaafu
MC Angela Bondo kazini
Sehemu ya waalikwa
Taswira ya mbele
Meza ya wana familia
Burudani ya muziki
wakielekea jukwaani kukata keki
Ni wakati wa keki
Wakikata keki
Wakilishana keki huku wakishuhudiwa na msimamizi wa ndoa yao miaka 50 iliyopita Balozi  Anthony Nyaki
Wajukuu, watoto, wakwe wakilishwa keki
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mama Maria Nyerere na Mama Shadya Karume
Wanafamilia wakijadiliana jambo
Taswira ya ukumbi
Bw. Nicholaus Mkapa akimimina champagne isiyo na kilevi  meza kuu
Bw. Nicholaus Mkapa akijianda kumimina champagne isiyo na kilevi  kwa Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma) Mstaafu Mhe.  Joseph Rugumyamheto akiwatakia wote maisha marefu kwa kuongoza toast
  Meza kuu wakigonganishiana glasi na Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa
Meza kuu wakigonganishiana glasi na Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akigongesha glasi na Mama Maria Nyerere, Mama Shadya Karume na Mama Salma Kikwete
   Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akigongesha glasi na Katibu Mkuu Kiongozi Eng. John Kijazi na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakigongesha glasi na Katibu Mkuu Kiongozi Eng. John Kijazi, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Spika Mstaafu Mamam Anne Makinda
  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakigongesha glasi viongozi  wastaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM na katibu Mkuu wake
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakigongesha glasi viongozi  wastaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM na katibu Mkuu wake
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakigongesha glasi viongozi  wastaafu
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakigongesha glasi na mawaziri wakuu wastaafu
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipongezwa na MKUU wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) mstaafu, Jenerali George Mwita Waitara na mkewe Mama Waitara
Rais Dkt. Magufuli akisaini kitabu cha sherehe hizo
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahaman Kinana akisalimiana na Waziri mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Mhe. Alnoor Kassum    na mkewe Mama Kassum
Watoto kutoka Kituo cha Kulea Watoto Yatima cha Kibaha (Kibaha The EOTF Orpham Centre) wakiwaimbia babu na bibi Mkapa
Brigedia Jenerali  mstaafu Francis Mbena akikabidhi zawadi yake
Brigedia Jenerali  mstaafu Francis Mbena akikabidhi kadi maalumu aliyotengeneza
Brigedia Jenerali  mstaafu Francis Mbena akikabidhi kwa Nicholaus Mkapa na mkewe zawadi yake
Bw. Kambona aliyesoma darasa moja na Mzee Mkapa akionesha zawadi ambao baadhi ya waliosoma naye waliileta kumkabidhi
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakipokea zawadi ya waliosoma na Mzee Mkapa
Msemaji wa familia ya Mzee Mkapa Bw. William Erio akitoa shukurani kwa wote waliofika na pia waliofanikisha sherehe hizo

Sheikh wa mkowa wa Dar es salaam Ahaj Alhad Mussa Salum akisema machache
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapongeza Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa
  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akitoa shukurani zake kwa wote waliohudhuria na waliofanikisha sherehe hizo
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akitoa shukurani zake kwa wote waliohudhuria na waliofanikisha sherehe hizo
Rais Dkt. Magufuli na mkewa Mama Janeth Magufuli wakiwapongeza Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa
  Rais Dkt. Magufuli na mkewa Mama Janeth Magufuli wakiwapongeza Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa
  Rais Dkt. Magufuli na mkewa Mama Janeth Magufuli wakiwakabidhi zawadi Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa
Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa. Kushoto ni Mama Regina Lowassa

  Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na  Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Bishop Eusebius Nzigilwa
Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipozi na viongozi wa dini. Kutoka kushoto ni Sheikh Alhad Mussa Salum, Shekhe wa mkoa wa Dar es salaam, Rais Magufuli, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Martin Shoo, Mama Janeth Shoo na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Bishop Eusebius Nzigilwa
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete  wakipozi na wajukuu wa Mzee Mkapa
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea na Mama Maria Nyerere

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Mama Salma Kikwete wakipozi na wajukuu wa Mzee Mkapa. Picha zote na IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad