Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja wa
Mataifa ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa
linaloshughulikia idadi ya Watu (UNFPA), Dkt. Natalia Kanem alipowasili
Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya nae mazungumzo.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akizungumza na Katibu
Mkuu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya Watu (UNFPA), Dkt. Natalia Kanem wapili kutoka (kushoto) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akitazama vitabu alivyopewa na mgeni wake
Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi
wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya Watu (UNFPA),
Dkt. Natalia Kanem wapili kutoka (kushoto) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wakwanza (kulia) ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiangalia vitabu hivyo.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja wa
Mataifa na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa
linaloshughulikia idadi ya Watu (UNFPA), Dkt. Natalia Kanem mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake
Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa na Naibu Mkurugenzi wa Shirika
la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya Watu (UNFPA),
Dkt. Natalia Kanem watatu kutoka kulia mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.wengine katika picha
ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.
Augustine Mahiga watatu kutoka (kushoto).
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili
ya kufanya mazungumzo.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment