Burudani : Christian Bella Alivyonogesha mkutano wa Rais Dk. Magufuli Jijini Mwanza - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


15 Aug 2016

Burudani : Christian Bella Alivyonogesha mkutano wa Rais Dk. Magufuli Jijini Mwanza



 Mwanamuziki nyota Christian Bella akikonga nyoyo za maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza Ijumaa Agosti 12, 2016
 Mwanamuziki nyota Christian Bella akitumbuiza  maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza Ijumaa Agosti 12, 2016
 Mwanamuziki nyota Christian Bella akiimba mbele ya maelfu ya wananchi wa  jiji la Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza Ijumaa Agosti 12, 2016
 Mwanamuziki nyota Christian Bella akipongezwa kwa kukonga nyoyo za maelfu ya wanannchi wa jiji la Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza Ijumaa Agosti 12, 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwanamuziki nyota Christian Bella baada ya kukonga nyoyo za maelfu ya wanannchi wa jiji la Mwanza wakati wa mkutano wa hadhara wa katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza Ijumaa Agosti 12, 2016

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad