Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Abdulrahman Kinana akielekeza jambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara, Ndg. Rajab Luhwavi (mwenye koti) pamoja na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM,Ndg. Nape
Nnauye (kushoto), wakati wa maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM,
unaotarajiwa kufanyika Julai 23, 2016 kwenye Ukumbi wa CCM Dodoma
Convention Centre, Mjini Dodoma leo. Alie nyuma ya Katibu Mkuu, ni Naibu
Katibu Mkuu wa CCM - Zanzibar, Ndg. Vuai Ali Vuai
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Abdulrahman Kinana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara, Ndg. Rajab
Luhwavi wakiweka sawa moja ya Vibao vitakavyotambulisha Wajumbe wa
Mkutano Mkuu wa CCM kutoka Mikoa yote nchini, ikiwa ni sehemu ya
maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM, unaotarajiwa kufanyika Julai 23, 2016
kwenye Ukumbi wa CCM Dodoma Convention Centre, Mjini Dodoma leo.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Abdulrahman Kinana akikagua
Ukumbi wa CCM Dodoma Convention Centre, kutakakofanyikia Mkutano Mkuu wa
CCM, unaotarajiwa kufanyika Julai 23, 2016.
Maandalizi yakiendelea.
No comments:
Post a Comment