Michezo / Tennis : Serena Williams Ashinda Taji la Saba la Wibledon - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


9 Jul 2016

Michezo / Tennis : Serena Williams Ashinda Taji la Saba la Wibledon


Mcheza tenisi maarufu, Mmarekani Serena Williams akiwa amezimia uwanjani kwa furaha ya kutwaa taji la saba la Wimbledon mjini London leo baada ya kumfunga Mjerumani Angelique Kerber katika fainali ya wanawake kwa seti 2-0, akishinda 7-5 na 6-3 na kutimiza mataji 22 ya Grand Slam, hivyo kufikia rekodi ya Steffi Graf kama wanawake waliotwaa mataji mengi zaidi. Kwa ushindi huo, amezawadiwa Pauni Milioni 2 huku Angelique Kerber akipata Pauni Milioni 1 kwa kushika nafasi ya pili....Kwa Picha Zaidi Bofya Humu >>>>

Post Top Ad