Madereva tuongeze umakini : Noah Yaacha njia na kuparamia Daladala, Buza Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 23 June 2016

demo-image

Madereva tuongeze umakini : Noah Yaacha njia na kuparamia Daladala, Buza Jijini Dar


IMG_2227
 Wananchi wakiangalia ajali ya Noah yenye namba za usajili T 359 DFQ iliyodaiwa kuacha njia na kuparamia daladala namba T 797 DEW eneo la Buza Njia Panda ya Kitunda jijini Dar es Salaam leo jioni. Katika ajali hiyo watu wawili waliokuwa kwenye Noah hiyo waliotajwa kuwa ni Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), walijeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Temeke kwa matibabu.
IMG_2230
 Noah hiyo ikiwa kwenye mtaro baada ya kutokea ajali hiyo.
IMG_2233
 Daladala lililogongana na Noah hiyo likiwa eneo la tukio.
IMG_2237
Wananchi wakiwa eneo la ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *