TANZIA : Blogger mwenzetu , Issa Muhidin Michuzi afiwa na mwanae , Maggid. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


9 May 2016

TANZIA : Blogger mwenzetu , Issa Muhidin Michuzi afiwa na mwanae , Maggid.


Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.

Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa, msiba utakuwa Tabata Mawenzi jijini Dar es salaam ambako ratiba ya mazishi itatoka mara tu baada ya mwili kuwasili.

Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo.

Wazalendo 25 Blog , Ina mpa pole blogger mwenzetu katika wakati huu mgumu. Mungu amlaze sehemu sahihi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad