Matukio : Wema Sepetu , Masanja watinga bungeni ,Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 14 May 2016

demo-image

Matukio : Wema Sepetu , Masanja watinga bungeni ,Dodoma


01
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiwa na wasanii mbalimbali pamoja na blogger nje ya bunge baada ya kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
02
 Msanii Wema Sepetu akiwa na baadhi ya wasanii wengine bungeni

04
 Nape akiwa na baadhi ya wasanii nje ya Bunge
05
 Nape akisalimiana na wasanii
06
 Wema Sepetu akiwa na Martha Mlata
07
03
Wema akiwa na mmoja wa marafiki zake bungeni Dodoma
10
Mchekeshaji Masanja wa kikundi cha Ze Comedy akiwa bungeni wakati wa Bajeti hiyo

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *