Matukio : Warsha ya kupata mrejesho wa rasimu ya kwanza ya mpango wa jumla ya kusimamia hifadhi ya taifa ya Katavi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 14 May 2016

demo-image

Matukio : Warsha ya kupata mrejesho wa rasimu ya kwanza ya mpango wa jumla ya kusimamia hifadhi ya taifa ya Katavi


IMG_0931+%25281024x683%2529
Mkuu wa Mkoa wa Katavi ,Meja Jenerali Mstaafu,Raphael Muhuga akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa Warsha ya kupata mrejesho wa rasimu ya kwanza ya mpango wa ujumla wa usimamizi wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi.
IMG_0891+%25281024x683%2529
Baadhi ya washiriki wa Warsha hiyo wakiwemo Wahifadhi,Kamati za ulinzi na usalama,maofisa watendaji na wenyeviti wa vijiji.
IMG_0909+%25281024x683%2529
Mkuu wa Wilaya ya Mlele inayopakana na Hifadhi ya Taifa ya Katavi,Kanali Mstaafu Issa Njiku akizungumza wakati wa warsha hiyo ya siku moja.
IMG_0877+%25281024x683%2529
Baadhi ya Washiriki wa warsha hiyo.
IMG_0922+%25281024x683%2529
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Paza Mwamlima akizungumza katika Warsha hiyo.
IMG_0878+%25281024x683%2529
IMG_0883+%25281024x683%2529
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati warsha ya  kupata mrejesho wa rasimu ya kwanza ya mpango wa ujumla wa usimamizi wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi.
IMG_0874+%25281024x683%2529
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika warsha hiyo.
IMG_0875+%25281024x683%2529
IMG_0888+%25281024x683%2529
Baadhi ya washiririki wa Warsha hiyo.
IMG_0949+%25281024x683%2529
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Katavi John Gara akiwasilisha mada wakati wa Warsha hiyo.
IMG_0942+%25281024x683%2529
Baadhi ya watendaji wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutoka makao makuu wakifuatilia  michango ya wachangiaji mada katika warsha hiyo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini aliyekua mkoani Katavi.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *