![]() |
| Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro akipanda kwenye gari hilo wakati wa makabidhiano hayo. |
![]() |
Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha,Juma Idd(kulia) akizungumza na mmoja wa Askari wa Umoja wa Mataifa(UN)wanaoimarisha ulinzi eneo hilo.
|
![]() |
| Afisa Uhusiano wa Jiji la Arusha,Nteghenjwa Hoseah akifurahia gari hilo. |
![]() |
| Mashine ya kisasa ya kuzimamoto inayotumia nguvu za Umeme na Petroli yenye uwezo wa kusukuma maji kwenye majengo yenye ghorofa zaidi 100. |
![]() |
| Sehemu ya vifaa hivyo vya aina yake ambavyo vitasaidia wakati wa majanga yanapotokea. |







No comments:
Post a Comment