Bungeni : Job Ndugai akutana na kamishna mkuu wa sekretarieti ya maadili Jaji Kaganda - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


19 May 2016

Bungeni : Job Ndugai akutana na kamishna mkuu wa sekretarieti ya maadili Jaji Kaganda


  Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na  Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo  naye ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza  Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipozungumza naye ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Simon Msanjila ofisini kwake Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad