![]() |
| Jumuiya ya wakurugenzi wa serikali za Mitaa wapatao 60 Kutoka Uganda wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya MAXCOM Africa mapema leo walipokuwa wametembelea Ofisi za Maxmalipo Kujifunza ni jinsi Gani kampuni hii Imeweza kugundua teknolojia inayosaidia kudhibiti makusanyo kwenye vyanzo mbalimbali vya mapato katika Halmashauri za miji na majiji Nchini Tanzania. |
WANANCHI WAKABIDHIWA VYETI VYA PONGEZI KWA MCHANGO WAO.
-
*Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
(SACP) Augustino Senga amewakabidhi wadau wa usalama wa Mji wa Tunduma,
Wil...
12 hours ago






No comments:
Post a Comment