Michezo : Yanga yaifunga kagera sugar 3 - 1 - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


5 Apr 2016

Michezo : Yanga yaifunga kagera sugar 3 - 1

 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Shaban Ibrahim katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 3-1.
 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kulia) akishangilia na Simon Msuva goli la kwanza aliloifungia timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar. (Picha na Francis Dande)
Amiossi Tambwe akishangilia goli la pili aliloifungia timu yake 
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kushoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Erick Kyaruzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania.

Post Top Ad