Matukio : LANCET Tanzania Limited Yafungua maabara ya kisasa , Moshi Mjini - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 13 April 2016

demo-image

Matukio : LANCET Tanzania Limited Yafungua maabara ya kisasa , Moshi Mjini


IMG_9025+%25281280x853%2529+%25282%2529
IMG_9026+%25281280x853%2529+%25282%2529
IMG_9030+%25281280x853%2529 Maabara ya kisasa ya Lancet  iliyofunguliwa mjini Moshi jirani na YMCA kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali ikiwemo magonjwa ya Saratani.
IMG_9032+%25281280x853%2529 Mtafiti wa Magonjwa,Dkt Hemed Kalebu akimuonesha Kaimu mganga mkuu wa mkoa ,Dkt Japhet Boniface ,maeneo mbalimbali alipotembelea maabara hiyo iliyofunguliwa mjini Moshi.
IMG_9034+%25281280x853%2529
IMG_9037+%25281280x853%2529+%25282%2529
IMG_9040+%25281280x853%2529 Dkt Kalebu akileza jambo kwa kaimu mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Dkt Josephat Boniface katika eneo ambalo hutumika kumpokea mgonjwa anayefika kwa ajili ya kufanyiwa vipimo.
IMG_9048+%25281280x853%2529+%25282%2529
IMG_9051+%25281280x853%2529
IMG_9054+%25281280x853%2529Dkt Kalebu akionesha sehemu ya vifaa mbalimbali katika maabara hiyo ambavyo vimekuwa vikitumika kwa ajili ya kufanya vipimo.
IMG_9066+%25281280x853%2529+%25282%2529
IMG_9067+%25281280x853%2529+%25282%2529 Baadhi ya vifaa mbalimbali vilivyoko katika maabara hiyo ya kisasa iliyofunguliwa mjini Moshi itakayotumika kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali ambayo baadhi ya wagonjwa wamekuwa wakivifuata nje ya nchi.
IMG_9072+%25281280x853%2529+%25282%2529 Kaimu Mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Dkt Josephat Boniface akiwa katika picha ya pamoja na Dkt Hemed Kalebu pamoja na watumishi wengine wa maabara hiyo .

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *