Ubunifu na Mitindo : Tanzania Red Carpet yafana Seattle, Washigton state - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


17 Mar 2016

Ubunifu na Mitindo : Tanzania Red Carpet yafana Seattle, Washigton state

Mama mitindo Asya Idarous Khamsini (kati) akiwa katika picha ya pamoja na mashabiki wake wa mitindo kwenye usiku wa Tanzania Red Carpet uliofanyika siku ya Jumamosi March 12, 2016 mjini Seattle jimbo la Washington na kuhudhuriwa na Watanzania wanaoishi jimbo hilo na marafiki zao.
Mama mitindo Asya Idarous Khamsini akipata ukodak moment.
Wavaaji nguo za mitindo wakipata picha ya pamoja na mama mitindo Asya Idarous Khamsini.

Post Top Ad