Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai
akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong
Tan Sang leo mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya
Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai pamoja na
Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang wakiwa
katika mazungumzo yaliyohusishwa na baadhi ya ujumbe toka nchi ya
Vietnam na Tanzania leo mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika
Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (wa pili
kushoto) akiongea na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(hayupo pichani) mara walipokutana kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli
ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akiongea na baadhi ya
vyombo vya habari mara baada ya mkutano uliofanyika kati ya Rais wa
Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang na Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai katika Hoteli
ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akiongea na baadhi ya vyombo vya habari mara baada ya kukutana na Rais
wa Jamhuri ya Kisoshalisti wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang katika
Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu
Spika wa Bunge hilo, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.
Baadhi
ya ujumbe alifuatana nao Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam,
Mhe. Truong Tan Sang wakifuatilia mazungumzo yao leo mara walipokutana
kwa ajili ya mazungumzo katika Hoteli ya Kilimanjaro 10 Machi, Jijini
Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO
No comments:
Post a Comment