Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Godfrey Simbeye
akizungumza katika uzinduzi wa mfumo mpya wa habari uliobuniwa na
taasisi hiyo kuwasaidia wafanyabishara wadogo na wa kati kupata taarifa
muhimu, ujuzi na huduma za maendeleo ya biashara ulioendana na mkutano
mkuu wa kumi na sita (16) wa Taasisi hiyo na uliofanyika jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na mwenyekiti mtendaji wa
IPP LTD Dkt. Reginald Mengi akizungumza katika uzinduzi wa mfumo mpya wa
habari uliobuniwa na taasisi hiyo kuwasaidia wafanyabishara wadogo na
wa kati kupata taarifa muhimu, ujuzi na huduma za maendeleo ya biashara
ulioendana na mkutano mkuu wa kumi na sita (16) wa Taasisi hiyo na
uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Wanachama
wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), wakifuatilia uzinduzi wa
mfumo mpya wa habari uliobuniwa na taasisi hiyo kuwasaidia
wafanyabishara wadogo na wa kati kupata taarifa muhimu, ujuzi na huduma
za maendeleo ya biashara ulioendana na mkutano mkuu wa Taasisi hiyo na
uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza katika
uzinduzi wa mfumo mpya wa habari uliobuniwa na taasisi hiyo kuwasaidia
wafanyabishara wadogo na wa kati kupata taarifa muhimu, ujuzi na
huduma za maendeleo ya biashara ulioendana na mkutano mkuu wa Taasisi
hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza mara
baada ya kuzindua mfumo mpya wa habari uliobuniwa na taasisi hiyo
kuwasaidia wafanyabishara wadogo na wa kati kupata taarifa muhimu,
ujuzi na huduma za maendeleo ya biashara ulioendana na mkutano mkuu wa
Taasisi hiyo na uliofanyika jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment