Matukio /Siasa : Dk. Vicent Mashinji ndiye katibu Mkuu mpya wa CHADEMA - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


13 Mar 2016

Matukio /Siasa : Dk. Vicent Mashinji ndiye katibu Mkuu mpya wa CHADEMA


Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemteua Dk. Vicent Mashinji kuwa katibu mkuu mpya wa chama hicho kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa katibu mkuu Dr Slaa ambaye alijiuzulu wadhifa huo mwaka jana.

Post Top Ad