Matukio : Rais Dk. John Pombe Magufuli apokea taarifa ya CAG ,Ikulu Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


28 Mar 2016

Matukio : Rais Dk. John Pombe Magufuli apokea taarifa ya CAG ,Ikulu Dar



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Professa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016
CAG
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa na watendaji wakuu wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali baada ya kukabidhiwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Professa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
CAG

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad