Matukio : Rais Dk. John Magufuli Amuapisha Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Mhe. Chiku Gallawa ,Ikulu Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


28 Mar 2016

Matukio : Rais Dk. John Magufuli Amuapisha Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Mhe. Chiku Gallawa ,Ikulu Dar


rais ikulu

Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshuhudia Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akiweka sahihi katika hati ya kiapo mara baada ya kuapa kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisaini hati ya kiapo cha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Luteni Mstaafu Chiku Gallawa baada ya kumuapisha kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.
Chiku Gallawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016. Kulia ni mume wa Mkuu huyo wa Mkoa Bw. Juma`Boma na kushoto ni bintiye.
Chiku Gallawa
Mkuu wa mkoa mpya wa Songe Luteni Mstaafu Chiku Gallawa.(PICHA NA IKULU).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad