Matukio : DC Paul Makonda azungumza na wenyeviti na maofisa watendaji wa jiji la Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


19 Mar 2016

Matukio : DC Paul Makonda azungumza na wenyeviti na maofisa watendaji wa jiji la Dar

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza na wenyeviti na maofisa watendaji wa jiji la Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mambo mbalimbali hasu suala la usafi wa mazingira.
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando akiongoza mkutano huo.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza katika mkutano huo.
 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizungumza katika mkutano huo.
 Mwakilishi wa Taasisi ya Wakala wa Upimaji Ardhi Tanzania, Linus Kinyondo akizungumzia suala zima la ujenzi wa nyumba kwa kuzingatia mipango miji ili kutunza mazingira.
 Wenyeviti na maofisa watendaji wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda (hayupo pichani)
Maofisa Watendaji na Wenyeviti wa Manispaa ya Kinondoni wakipiga makofi kwenye mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad