![]() |
| Mbunge wa Monduli mkoa wa Arusha,Julius Kalanga akiangalia nyumba iliyoteketezwa kwa moto,Alitoa mabati 100 kwaajili ya ujenzi wa nyumba mpya. |
![]() |
| Bi Mariam Omary mkazi wa Selela wilaya Monduli akizungumza mkasa uliompata . |
![]() |
| Wakina Mama wakitoa michango yao ya hiari kumfariji Bi Mariamu Omary. Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com ,Arusha |





No comments:
Post a Comment