WAFANYABIASHARA waasa kulipa kodi kwa kuto kulipa kodi ni kinyume
cha sheria kwani huleta kuleta msukumo kwa Mamlaka ya Mapato kukusanya
wa mapato ya serikali ili fedha hizo zitumike kwa matumizi
yaliyokusudiwa.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango wakati akizungumza na wafanyabiashara jijini Dar es Salaam leo.
Pia amesema kuwa wafanyabiashara wanatakiwa kushirikiana na
serikali ya awamu ya tano katika ukusanyaji mapato ili kujenga mazingira
bora ya wafanyabiashara.
Mpango amewaomba wafanyabiashara kutumia mashine za EFD ili
kuongeza mapamo ya serikali wanampango wa kununua Mashine za EFD ili
kuwapa wananchi ambao hawajaanza kuzitumia kwaajili ya kukusanya mapato
ya serikali.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango akizungumza na wafanyabiashara leo
katika ofisi za wizara ya Fesha jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni
Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya sekta binafsi (TPSF), Salum Shamte.
Kutoka kulia ni Naibu waziri wa Fedha na Mipango, Ashantu Kijaji,
katika ni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo
Kidata na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius
Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa waziri wa Fedha na Mipango leo jijini
Dar es Salaam.
Makamu
Mwenyekiti wa Taasisi ya sekta binafsi (TPSF), Salum Shamte akizungumza
na wafanyabiashara waliokusanyika leo katika ofisi za Wizara ya Fedha
na Mipango jijini Dar es Salaam leo.
Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya sekta binafsi (TPSF), Felix Mosha na Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) wakiwa kwenye mkutano wa wafanyabiashara leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafabiashara wakimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango katika mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mwakilishi wa sekta ya Kilimo Sinari Sinari akizungumzia kuhusiana na sekta ya Kilimo jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugugenzi
wa Bravo Logistics, Angelina Ngalula akizungumza na wafanyabiashara
katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na
usafilishaji wa mizigo kwa kutumia magari na jinsi adha ya usafari
katika sekta ya usafirishaji hapa nchini.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
No comments:
Post a Comment