Mwanahabari
nguli Hemedi Kimwanga (kushoto waliosimama) akipeana pole na wanamuziki
mbalimbali wakongwe wakati wa msiba wa Mzee Kassim Mapili Magomeni
Mapipa jijini Dar es salaam leo
![]() |
| Wanamuziki nyota wa kike walijitokeza kwa wingi katika msiba huu. Hapo kuna Nyota Abdallah, Anna Mwaole, Kida Waziri, Lwiza Mbuttu, Asha Salvador na wengineo wengi |

Mzee Makassy na wakongwe wenzie walikuwepo

Kanku Kelly na Delphine Munumba wakiongea na kaka Emmanuel Mpangala msibani

Mwakilishi kutoka Wiziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo akitoa rambirambi za serikali

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akimfariji mtoto wa marehemu

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akimfariji mtoto wa marehemu

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akimfariji mtoto wa marehemu

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akipeana mikono na mwanamuziki mkongwe Mjusi Semboja huku akiongea na Mzee Makassy na wanamuziki wengine

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiongea na mchambuzi wa muziki wa dansi mahiri Zomboko na mdau wa muziki Hassan

No comments:
Post a Comment