Matukio : Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akutana na Mabalozi ofisini kwake - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


23 Feb 2016

Matukio : Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akutana na Mabalozi ofisini kwake


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Mhe. Alvaro Rodriguez kabla  ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Bw. Alvaro Rodriguez  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Yosemin Eralp kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Balozi wa Ireland nchini, Mhe.  Fionnuala  Gilsenan,  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na  Balozi wa Switzerland nchini, Mhe.  Florence Tinguely Mattli,  Ofisini kwake  Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad