Select Menu

Matukio

News

Newspapers

Nishati

Jamii

Sports

News /Arusha

Technology

» » » » Matukio : Happy Birthday Abdallah Mrisho "Abby Cool"

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho.
LEO ni siku muhimu sana kwa Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers Ltd iliyopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, unamtakia heri ya kuzaliwa Meneja Mkuu wetu, Abdallah Mrisho. 12729167_540816069426367_7128857001330784507_n
Abdallah Mrisho akiwa katika pozi.
Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa wafanyakazi wote wa Global Publishers Ltd na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali. Happy Birthday Abdallah Mrisho!

About Gadiola Emanuel

Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar. Check me on | Instagram: @wazalendo25blog | Twitter : @wazalendo25 | Facebook: Wazalendo 25 Blog
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply