Matukio : Waziri Charles Kitwanga Akutana na Wawekezaji kutoka ulaya - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


17 Feb 2016

Matukio : Waziri Charles Kitwanga Akutana na Wawekezaji kutoka ulaya


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimfafanulia jambo Mwekezaji kutoka Bara la Ulaya ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mauzo ya Nje wa Kampuni ya Vifaa vya Zimamoto nchini Ubeligiji, Jan Schampheleer (kulia) na Rais wa Klabu ya Wafanyabiashara wa Ulaya, Dk. Erick Gohl (wapili kulia), wakati wawekezaji hao walipomtembelea Waziri Kitwanga ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya uwekezaji nchini mahususi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.kwa Maelezo zaidi bofya hapa >>>

Post Top Ad