Matukio : Lukuvi Awaagiza viongozi kulinda maeneo ya wazi - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


27 Feb 2016

Matukio : Lukuvi Awaagiza viongozi kulinda maeneo ya wazi


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi kizungumza na Madiwani na Wenyekiti wa Serikali za Mitaa (hawapo pichani) juu ya kuwawezesha viongozi katika ngazi ya Mitaa kusimamia na kulinda maeneo ya wazi ,miundombinu na maeneo mengine ya umma.( Katikati) ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi na kulia ni Mkurugenzi wa Mipango Miji na Vijiji Profesa.John Lupala.

Post Top Ad