Matukio : Benki ya NMB yadhamini mkutano wa maofisa waandamizi Jeshi la Polisi - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


17 Feb 2016

Matukio : Benki ya NMB yadhamini mkutano wa maofisa waandamizi Jeshi la Polisi

Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja wadogo Benki ya NMB PLC, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akimkabidhi Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Abdulrahman Kaniki (kulia) moja ya mabegi ya msaada yaliyotolewa na Banki ya NMB jana Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. Mabegi hayo yanatarajia kutumika katika Mkutano Mkuu wa Makamishna na Maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania utakaofanyika kesho kutwa jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Utumishi Jeshi la Polisi, DCP, Gabriel Semiono akishuhudia tukio hilo. Kwa maelezo zaidi bofya hapa >>>

Post Top Ad