Kutoka bungeni : Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 4 February 2016

Kutoka bungeni : Waziri Mkuu Majaliwa Bungeni


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 3, 2016.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Manyovu, Albert Obama Ntabaliba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari3, 2016.


Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Februari 3, 2016.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kibaha Vijijini Hamoud Abuu Jumaa kwenye viwanja vya Bunge mJini Dodoma, Februari 3, 2016.


Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Mbunge wa Kibaha Vijijini, Hamoud Abuu Jumaa (katikati) na Mbunge wa Bukoba Vijijini Jasson Rweikiza kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 3, 2016.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment