Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akizungumza wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo cha michezo cha
Jakaya Kikwete Sports Park na kushiriki siku ya Albino Tanzania
iliyoratibiwa na Kituo hicho kwa ushirikiana na Chama cha Albino
Tanzania.Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power Bw.
Paul Hinks, Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho Bw. Ray Power na
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Alibino Tanzania Bw. Josephat Tomer.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa tatu
kutoka kushoto) akimsikiliza kwa makini Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha
Alibino Tanzania Bw. Josephat Tomer wakati wa ziara maalumu ya
kutembelea Kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park na kushiriki
siku ya Albino Tanzania iliyoratibiwa na Kituo hicho kwa ushirikiana na
Chama cha Albino Tanzania.Kutoka kushoto ni Mkuu wa Utawala na
Uendeshaji wa Kituo hicho Bw. Richard Mtui, Afisa Mtendaji Mkuu wa
Syjmbion Power Bw. Paul Hinks na Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho
Bw. Ray Power.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa tatu
kutoka kushoto) akifuatilia maelezo kuhusu Kituo cha michezo cha Jakaya
Kikwete Sports Park kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power
Bw. Paul Hinks (wa tatu kutoka kushoto) wakati wa ziara maalumu ya
kutembelea Kituo hicho na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijjini
Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Meneja Uhusiano wa Serikali kutoka
Symbion Power Bw. Hitesh Divecha, Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho
Bw. Ray Power na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leornard Thadeo
(wa tatu). kutoka kulia.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
(katikati) akitembela baadhi ya miundombinu ya michezo iliyojengwa
katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park wakati wa ziara
maalumu ya kutembelea Kituo hicho na kushiriki siku ya Albino Tanzania
iliyoratibiwa na Kituo hicho kwa kushirikiana na Chama cha Albino
Tanzania.Kutoka kulia ni Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho Bw. Ray
Power, Afisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power Bw. Paul Hinks na Mkuu wa
Utawala na Uendeshaji wa Kituo hicho Bw. Richard Mtui.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akifuatilia maelezo kuhusu matumizi ya baadhi miundombinu ya michezo
iliyopo katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park kutoka
kwa Mkuu wa Utawala na Uendeshaji Bw. Richard Mtui wakati wa ziara
maalumu ya kutembelea Kituo hicho na kushiriki siku ya Albino Tanzania
leo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akichezea
mpira wa Basket katika moja ya viwanjwa vilivyopo katika Kituo cha
Michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park wakati wa ziara maalumu ya
kutembelea Kituo hicho na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijini
Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(mwenye
miwani) akiangalia moja ya viwanjwa vilivyopo katika Kituo cha Michezo
cha Jakaya Kikwete Sports Park wakati wa ziara maalumu ya kutembelea
Kituo hicho na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akiangalia mafuta ya ngozi yanayotumiwa na watu wenye ulemavu wa ngozi
(Albino) wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo cha Michezo cha
Jakaya Kikwete Sports Park na kushiriki siku ya Albino Tanzania leo
jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(mwenye
miwani) akifurahi pamoja na baadhi ya wawakilishi wa Chama cha Albino
Tanzania wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo cha michezo cha

jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power
Bw. Paul Hinks.
PICHA NA: FRANK SHIJA , WHUSM
No comments:
Post a Comment