Matukio : Rais Dk. John Magufuli Amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


25 Jan 2016

Matukio : Rais Dk. John Magufuli Amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja   ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya Uhamiaji hivi karibuni.

Post Top Ad