Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akihutubia kwenye uzinduzi wa mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa
unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shuhuli za kwa uadilifu
(UNGC) uzinduzi huo umefanyika leo Januari 19,2016 katika Hoteli ya
Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akionesha kitabu cha mpango mkakati baada ya kuzindua mpango mkakati wa
Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shuhuli za
kwa uadilifu (UNGC) uzinduzi huo umefanyika leo Januari 19,2016 katika
Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la mpango Mkakati wa Wafanyabiashara
Tanzania Patrick E. Ngowi kushoto, Mwakilishi mkaazi wa Umoja wa
Mataifa Alvaro Rodriguez katikati na msaidizi wa Balozi wa Zurich Nchini
Florence T. Mattli kabla ya kuzindua mpango mkakati wa Umoja wa
Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shuhuli zao kwa
uadilifu (UNGC) uliofanyika leo Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt
Regency jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la mpango Mkakati wa Wafanyabiashara
Tanzania Patrick E. Ngowi kabla ya kuzindua mpango mkakati wa Umoja wa
Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya shuhuli za kwa
uadilifu (UNGC) uliofanyika leo Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt
Regency jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Washiriki wa
mkutano wa mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara
Duniani kufanya shuhuli zao kwa uadilifu (UNGC) uliofanyika leo Januari
19,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na baadhi ya Viongozi na Washiriki wa mkutano wa mpango
mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza Wafanyabiashara Duniani kufanya
shuhuli zao kwa uadilifu (UNGC) uliofanyika leo Januari 19,2016, nje ya
ukumbi wa mikutano katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na baadhi ya waandishi wa Vyombo mbalimbali vya Habari baada
ya kufungua mkutano wa mpango mkakati wa Umoja wa Mataifa unaohimiza
Wafanyabiashara Duniani kufanya shuhuli zao kwa uadilifu (UNGC)
uliofanyika leo Januari 19,2016 katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini
Dar es salaam. kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la mpango Mkakati wa
Wafanyabiashara Tanzania Patrick E. Ngowi. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment